Msaada:- namna ya kuhamisha picha toka "vhs" kwenda "vcd" au "dvd".

Chizi Fureshi

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,718
457
Wakuu, naombeni maujanja ya kuhamisha picha kutoka kwenye "VHS" kwenda kwenye mfumo wa CD. Nisaidieni tafadhali.
 
Mie desktop yangu ina tv card ambapo ina ports za tv antenna, s-video, na zile za kuchomeka waya wa deki ya vhs/dvd, nnachofanyaga uwa ni kuconnect deck ya vhs then ina play kuna option ya kurekodi tv na vhs
 
hivi nnaweza kupata tv card kwa ajili ya laptop
 
yap mkuu zinapatikana tena za external ni imara kuliko zile za desktop

usb-20-tv-box-uk2842-732.jpg
USB 2.0 TV Box (UK2842)...
Model:UGW-497779
Description: Features: 1. USB2.0 CAPTURE TV-BOX 2. Adapt to portable or desktop computer. 3. Full channel searching and user-defined 200 favorite Programs. 4. Capture high-quality dynamic and static picture, collect picture smoothly. 5. Can be connected with DVD, VIDEO, GAME and CAMERA, ,...
 
Mie desktop yangu ina tv card ambapo ina ports za tv antenna, s-video, na zile za kuchomeka waya wa deki ya vhs/dvd, nnachofanyaga uwa ni kuconnect deck ya vhs then ina play kuna option ya kurekodi tv na vhs
Mkuu ungemsaidia bei ya TV Card na wapi ataipata kwa urahisi kama atataka kufanya hivyo pls....
 
yap mkuu zinapatikana tena za external ni imara kuliko zile za desktop

View attachment 67858
USB 2.0 TV Box (UK2842)...
Model:UGW-497779
Description: Features: 1. USB2.0 CAPTURE TV-BOX 2. Adapt to portable or desktop computer. 3. Full channel searching and user-defined 200 favorite Programs. 4. Capture high-quality dynamic and static picture, collect picture smoothly. 5. Can be connected with DVD, VIDEO, GAME and CAMERA, ,...
Dada umetisha mpaka bhaaaaaas. Mungu akujaalie maujanja zaidi kwa ajili ya wengine.
 
Thanx Dada Fatuma
 
grafani11 hii yangu niliinunua muda kidogo nikiwa mwanza, sasa sijui zinauzwaje especially nyasiro kwa sasa yuko dar
 
Last edited by a moderator:
Dada umetisha mpaka bhaaaaaas. Mungu akujaalie maujanja zaidi kwa ajili ya wengine.
Hata mimi namwaminia huyu mwanadada ,naweza sema ni mwanadada pekee nguli wa IT humu anaye toa msaada mkubwa wa kiufundi,wengi wa dada zetu humu ni maarufu kwa kwa kutoa ushauri nasaha kwenye lile jukwaa kule chini kabisa mwishoni
 
kuna zile deck hasa mitumba ina kuwa na sehemu ya vhs na semu ya cd ambayo ni dvd writer yani hapo una play vhs yako then unaweka empty disc or dvd on other side of cd tray then burn as usual very simple way
 
hii kitu mbona inapatikana mtaa wa mtendeni na morogoro road karibu na stend ya kisutu kuna jamaa anaitwa juma mpijie kwa namba 0713362971 na bei yake ina range kwenye 50,000/= mpaka 55,000/=@nyasiro

Poa. Ntamtafta, ahsante sana.
 
Back
Top Bottom