Msaada namna ya kuandaa nyama choma

dadamkubwa

Senior Member
Sep 3, 2013
115
20
Habar zenu wapendwa...!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa namna ya kuandaa pamoja na kuchoma nyama ya ng'ombe, na wastan wa watu wanne.

Asante
 
Sijui mnatumia kilo ngapi ila ukitaka nyama iive vizur na ilainika vizuri andaa nyama stek .kata vipande vipana kidogo ila

Kisha sagia tangawizi na ki2nguu swaum weka chumv na ndimu kisha weka pilipili manga ya unag na masala kidogo na nyunyiza pilipil ya unga kwambali.na kama unapapai kidogo sagia kwenye nyama.papai inafanya nyama iive kwa wepesi hadi ndani.

Ukisha changanya na viungo acha viingie kamahata lisaa au mawili

Kisha choma kwa moto wa wastani acha ikake vizuri naimani ikisha iva ladha utakayo ipate kwenye nyama hio hutajuta na unaweza maliza peke yako jikoni
 
Cjui mnatumia kilo ngapi ila ukitaka nyama iive vizur na ilainika vizuri andaa nyama stek .kata vipande vipana kidogo ila

kisha sagia tangawizi na ki2nguu swaum weka chumv na ndimu kisha weka pilipili manga ya unag na masala kidogo na nyunyiza pilipil ya unga kwambali.na kama unapapai kidogo sagia kwenye nyama.papai inafanya nyama iive kwa wepesi hadi ndani
Ukisha changanya na viungo acha viingie kamahata lisaa au mawili

Kisha choma kwa moto wa wastan acha ikake vizur naimani ikisha iva ladha utakayo ipate kwenye nyama hio hutajuta na unaweza maliza peke ako.jikon

Hahahahaha asante sana
 
umenitamanishaje hapa............
 
Mahitaji: Nyama, chumvi, Tangawizi, kitunguu saumu, vinegar, ajinomoto, soya sauce, mafuta ya kupikia.

Andaa nyama yako. Nyama nzuri kwa kuchoma ni salala ndogo{T-Bone}au sehemu ya kidari. Ikate vipande size unayohitaji. Chukua Tangawizi usagie kwenye nyama au usage pembeni kisha uikamulie maji yake kwenye nyama, weka mafuta ya kupikia kidogo ili viungo vichanganyike. Baada ya tangawizi waweza kuweka garlic. Kisha chukua Vinegar nyunyizia kiasi kidogo kutokana na wingi wa nyama, baada ya vinega chukua soya sauce unyunyizie nayo kiasi kidogo, ili kuongeza ladha zaidi waweza weka Ajinomoto kidogo then weka chumvi kiasi unachohitaji. Baada ya hapo changanya vizuri mchanganyiko huo kisha uache kwa muda kidogo ili nyama ilainike.ikishalainika sasa waweza kuiweka kwenye jiko lenye moto ambao sio mkali sana. Kaa karibu na jiko ili uwe unaigeuza nyama kadri itakavyokuwa inaiva.

Cc watu8, Heaven on Earth, Mike McKee, Nivea, Maxence Melo.
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa somo dada
 
Asante sana
 
Last edited by a moderator:
Mpwa hii kitu naona inatufaa sana sisi wazee wa picnic

Inafaa sana kwa kweli. Nilishawahi kuiandaa kwa wageni flani hivi kutoka Beligium mwaka juzi kwa kweli ilikuwa poa sana. Nzuri zaidi ni kwamba niliichoma kiasili kama ambavyo wamasai wanachoma.
 
Back
Top Bottom