msaada:namna ya ku save file la vegas movie studio HD platinum 11.0

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
wadau habari
kuna video nime edit ya muda wa dakika 18,lakini wakati naisave file limekuwa kubwa mno yaani limefika size 3.82gb.
Ni muunganiko wa mafile mawili moja ukubwa wake ni 52.6mb na lingine size 37.1.
natumia vegas movie studio HD platinum 11.0
naomba nielekezwe namna ya kusave ili file liwe la kawaida.Manake kama file la video litakuwa la saa moja uwezekano wa kupata hata gb 20 ni mkubwa sana.Naomba wataalam maelekezo.
Mungu awabariki sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom