Msaada: Namna ya ku-Address application serikalini

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,118
16,470
Respect wakuu, MMP nimekwama sehemu kuhusu haya matangazo ya kazi ya serikali kupitia sekretarieti ya ajira.

Kwenye Genereal wameagiza kuwa Barua zote zitumwe kwa anuani ya Sekretarieti ya Ajira za Umma lkn sina hakika na address ya ndani katika barua yenyewe. In other words wasi wasi wangu ni namna gani watatambua ninaomba kazi ktk Idara au Taasisi ipi ikiwa tangazo moja limebeba mjumuisho wa Idara na Taasisi kadhaa na tumeambiwa tuaddress zote kwa sekretarieti?
 
Soma hiyo hapo;
iv. The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter; short of which will make the application invalid.
v. The title of the position and institution applied for should be marked on the envelope; short of which will make the application invalid.
 
we andka kaz unyotaka ,adres yako na ya sekterariat ya ajira, na vilevile kwa bahasha adres kwenda sekterariet ya ajira ila ju ya bahasha andka ulichomba, wao ndo wanahusika na kilaki2 , wahucka wa wizara mblmbl watakuwepo kwenye kamati ya intaview , serkal ndo imeichagua sekretariet kudil na mambo yote ya ajira na si wizara au halmashaur hucka kama ilivokua zaman
 
Nb pitia maelezo ya mwisho kwenye maelezo ya ajira, kwamba barua zote zitumwe kwenye anwan za sekretariet ya ajira.
 
wakuu na ajira kama imeandikwa labda mipango miji na kuna sehemu nyingi tofauti (locations) ni lazima niandike MIPANGO MIJI DODOMA, I mean sehemu ninayotaka??
 
Soma hiyo hapo;
iv. The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter; short of which will make the application invalid.
v. The title of the position and institution applied for should be marked on the envelope; short of which will make the application invalid.

Shida ya hizi pombe za Mama Zaituni, yaani mijicho yangu imekesha kwenye hayo makaratasi siku nzima.

Asende asende bhabha, loh!
 
wakuu na ajira kama imeandikwa labda mipango miji na kuna sehemu nyingi tofauti (locations) ni lazima niandike MIPANGO MIJI DODOMA, I mean sehemu ninayotaka??

jaman ni lazma uandke unapopataka si unandka post afu wenyewe wanakupanga au?
 
Back
Top Bottom