Msaada namna kuattach softwares au folder katika email

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
wakuu naombeni mnisaidie ni vp ninaweza kuattach softwares ktk email, kwan me nko arusha na nlisahau cd yenye software zangu muhmu dar, sasa naomba mnielekeze hli ili niweze kumuelekeza dogo alieko dar aweze kunitumia hzo softwares kwa ku2mia email. NATANGULIZA SHUKRAN ZANGU
 
Nadhani atumie njia ya kawaida tu anaweka(copy from cd to computer) hizo file kwa computer then ana send as attachment.
 
aziweke kwenye folder then ali zip au alichange kuwa katika image then aattach kama kawaida.
lakini mkuu kwa internet yetu ya kibongo ku attach software si atakesha mpaka ije kuwa attached. halafu akishakutumia na wewe unaanza kazi ya kuidownload from email. sasa si bora akutumie hiyo cd kwa njia ya basi kama parcel.
 
sehemu yenye dar si akutumie hiyo cd, kama vipi fata ushauri wa elmag hapo juu..
 
providers wengi wa huduma email hawarusu kutuma excutables mf gmail hata kama ukicompress sidhan kama utafanikiwa kuzituma kwani ikigundulika kama kuna .exe ndani yake itashidikana.
Nakushauri afanye hivi: kuna free services kama 4shared.com - free file sharing and storage n.k kwa hyo anachofanya ni ku-upload hilo afu anapewa links za kulidownload.
Kumbuka kuna limit ya size na muda ambao hilo file litatunzwa.
 
poa kaka nashukuru,
 
aziweke kwenye folder then ali zip au alichange kuwa katika image then aattach kama kawaida.
lakini mkuu kwa internet yetu ya kibongo ku attach software si atakesha mpaka ije kuwa attached. halafu akishakutumia na wewe unaanza kazi ya kuidownload from email. sasa si bora akutumie hiyo cd kwa njia ya basi kama parcel.

poa kaka ahsante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom