Raia Mvumilivu
Member
- Nov 28, 2011
- 20
- 3
Mimi ni mwanaume,nina warts kwenye maeneo ya pubic hairs na zinaongezeka na kukua baada ya kutumia dawa kama pencil hivi ya kuviunguza, Je dawa yake ni nini kuviondoa kabisa maana sivipendi?.
Pole sana mkuu, umeenda hospitali lakini?
Ngoja wadau watakuja kukusaidia!
Mimi ni mwanaume,nina warts kwenye maeneo ya pubic hairs na zinaongezeka na kukua baada ya kutumia dawa kama pencil hivi ya kuviunguza, Je dawa yake ni nini kuviondoa kabisa maana sivipendi?.
Mbona unamtisha mkuu? Warts inasababishwa na Human Papilloma Virus(HPV) wakati HIV inasababishwa na Human Immunodefficient Virus (HIV).Siyo kila aliye na warts ana HIV. HPV can be prevented by vaccination, gardasil and the warts can be managed by podofilox or Aldara cream.Kwanza ni vizuri ukachunguzwa afya yako vizuri kwa sababu vinahusiana na HIV infection. Pili tiba yake inategemea ni vingi kiasi gani. Inategemea na wingi wake, vyaweza tibika na hiyo caustic pensil, au Podophylline au kama ni vingi sana hufanyiwa cauterization hospitalini.
Kama unatumia caustic pensil, naamini utakuwa umeelekezwa tahadhari ya jinsi ya kutumia. Baada ya kuchukua tahadhari hizo hakikisha ile caustic pensil unaituliza kwa dakika tatu kwa kila kimelea cha warts. Kwa hiyo baada ya kutuliza hiyo caustic pensil kwenye kimelea kimoja unahamisha kwenye kingine nacho unakichoma kwa muda huo mpaka vyote vimeisha. ukifanya hivyo huwa havirudi na vikirudi huwa ni vichache sana ukilinganisha na vya mwanzo, na hivyo ukirudia huwa vinaisha kabisa.
Pili mkague patner wako kwa sababu vinaambukiza, ili nae apate tiba.
Kwanza ni vizuri ukachunguzwa afya yako vizuri kwa sababu vinahusiana na HIV infection.
Mbona unamtisha mkuu? Warts inasababishwa na Human Papilloma Virus(HPV) wakati HIV inasababishwa na Human Immunodefficient Virus (HIV).Siyo kila aliye na warts ana HIV.
Kwanza ni vizuri ukachunguzwa afya yako vizuri kwa sababu vinahusiana na HIV infection. Pili tiba yake inategemea ni vingi kiasi gani. Inategemea na wingi wake, vyaweza tibika na hiyo caustic pensil, au Podophylline au kama ni vingi sana hufanyiwa cauterization hospitalini.
Kama unatumia caustic pensil, naamini utakuwa umeelekezwa tahadhari ya jinsi ya kutumia. Baada ya kuchukua tahadhari hizo hakikisha ile caustic pensil unaituliza kwa dakika tatu kwa kila kimelea cha warts.
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/281281-msaada-nahitaji-wakitaabu.html