Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Nahitaji Vitabu hivi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bandabichi, Dec 5, 2012.

 1. Bandabichi

  Bandabichi JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele wakuu.
  Nahitaji vitabu hivi tafadhali, na miko mbali na Dar es salaam wanajamvi.
  1 : Gupta S P ( 2003), Statistic Method, Sultan Chand & Sons Education.
  2 : Amin M E (2005), Social Science Research conception and Analysis. Makerere University.
  3 : Krishnaswami O R (2003), Methodology of Research in Social Science. Mumbai.
  4 : Ruzibuka J E and Rutabinga P R (1996), Project Planning and management, IDM Mzumbe
  5: Ngailo L N (2010), Project Planning Management, Logical Framework approach.

  Tafadhali naitaji vitabu urgently.
   
 2. K

  Kipimbwe JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 18
  Nenda Radar watakuuzia mkuu wanimport.
   
 3. Bandabichi

  Bandabichi JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Radar wanapatikana wapi mkuu tafadhali. email yao kama ipo ama namba zao za simu.

   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 8,277
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 63
  vingi vya kihindi hapo,una hamu na sup?
   
 5. Bandabichi

  Bandabichi JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya kaka, sasa unavyo?

   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,776
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 63
  Radar wapo jengo lile la barclays opp na serena(zamani sheraton/royal palm) hotel
   
Loading...
Similar Threads - Msaada Nahitaji Vitabu Forum Date
Msaada :nahitaji chemical za maabara Musoma Habari na Hoja mchanganyiko Dec 30, 2015
Msaada: Nahitaji kujua ofisi za viatel Habari na Hoja mchanganyiko Aug 16, 2015
Msaada; Nahitaji Punda wa kununua Habari na Hoja mchanganyiko Aug 16, 2015
Msaada: Nahitaji kujuzwa nauli ya ndege Habari na Hoja mchanganyiko Aug 14, 2015
Msaada: Nahitaji kufika Leaders Club, niko Makumbusho stand DSM Habari na Hoja mchanganyiko Jul 14, 2015

Share This Page