Msaada: Nahitaji kujua ofisi za viatel

tamimusalim

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
1,822
494
Napenda kufahamu ofisi za viatel zilipo , typing error, ila ni kampuni hii mpya ya cm toka viertnam , mwenye kujua zilipo tafadhali nipo serious nataka kujua maana jf wengine humu wana mambo yao wanajua kila mda mchezo mchezo tu!!!
 
uko mkoa gani wewe kama uko mwanza nikuelekeze zilipo
 
Back
Top Bottom