Msaada: Nahijaji laptop mpya.

tcoal9

JF-Expert Member
Apr 5, 2009
248
62
Nimeingia jijini dar jana. Je ni wapi naweza kupata laptop mpya kwa bei kati ya laki tano hadi laki saba. Na yenye gerentii japo mwaka mmoja. Natanguliza shukrani wana JF kwa msaada wenu.
 
Nimeingia jijini dar jana. Je ni wapi naweza kupata laptop mpya kwa bei kati ya laki tano hadi laki saba. Na yenye gerentii japo mwaka mmoja. Natanguliza shukrani wana JF kwa msaada wenu.

Cheki hii nimeipata ktk matangazo mado madogo!
nauza latop compaq 610 in a ram 2 gb, hdd size 250, black nch 15.7. bado zpo fresh kabisa...bei ni lakh 680,000. simu 0768891102 tuwasiliane
 
Nimewasiliana na mwenye hiyo namba anasema kwa sasa mzigo umeisha. Nitakuwa na siku tatu hapa dar hivyo wana Jf naomba msaada ili nipate mashine nzuli.
 
Back
Top Bottom