angalia usb port nahisi moja imevunjika, ndani ya hio port kuna 4 pins itakua zimegusana au pin moja imegusa chassis, kama haikubali change power supply imekufa. kwa maelezo uliotoa ni hardware problem, ukitaka maelezo ya kuifanyia diagnosis PS ujue kama imekufa niambie.