Msaada: Mwenye possible za mitihani ya form six NECTA 2016 hasa practical kwa PCB

Kama kichwa kinavosema ndugu yenu natafuta .. Mwenye nazo ani pm tuongee
Acha use.....nge soma possible za nini ili mje kudisco mapema vyuo alaf watu wasingizie mmeonewa? Kama uwezo wako mdogo sio lazima uende university moja kwa moja jinoe kwanza
 
Acheni kumpotosha,wangapi wanakuja uku kuomba muongozo wa Interview questions? mbona mnawapa na wengine wanatumia hadi notes za kusoma? kwanini uyu anaomba possible questions mnamtamkia maneno ya kukatisha tamaa? acheni wivu wa kike msaidie kama una uwezo kama hauna kausha.Mtihani mwema mkuu
Watu wanakuja kuomba muongozo ila sio Yale exactly questions atakayoulizwa! Kumtetea huyo mpuuzi na wewe unakuwa mpuuzi zaidi au na wewe uliingia university kwa possible?
 
umenikumbsha mbali sana, kpindi kileeeeeeeee, tulikuwa hatulali, ni kusaka possible nje ndani!!!
Kuna jamaa alipata possible ya Chemistry (Advance) ya Volume akaambiwa ni 63 kumbe ilikua inakuja aroud 5 hv jamaa alitokwa jasho baada ya kuona asilimia kubwa ya watu lab.wamepata volume ya 5 - 7, Ilikua nomaaaaa
 
Wewe kijana akili huna your looking for fake exams now??? Work on your own tunatak cream residuals right...nyie kizaz cha dot com mna shida sanaa
 
PCB sio ushuzi kusema kila mtu anaweza kujamba, hii inatokana na mitaala mibovu iliyowekwa mfano mtu anataka kuwa doctor kuna haja gan kusoma Physics yenye mechanics, current&static electricity yana faida gan kwa huyu mtu?
hivyo basi sikuungi mkono kwenye kusaka possible ila kama ukipata usizipuuzie hakikisha umezisolve
Good luck
 
PCB sio ushuzi kusema kila mtu anaweza kujamba, hii inatokana na mitaala mibovu iliyowekwa mfano mtu anataka kuwa doctor kuna haja gan kusoma Physics yenye mechanics, current&static electricity yana faida gan kwa huyu mtu?
hivyo basi sikuungi mkono kwenye kusaka possible ila kama ukipata usizipuuzie hakikisha umezisolve
Good luck

Naomba jf waweke na option ya dislike....Watu wanaandika mambo wasiyoyajua,who told u umeme hauna faida kwa daktar.Walioandaa hiyo mitaala wanajua wanachokifanya.
 
Muache afaulu ila ukija Uni tunakula kichwa semester ya kwanza tu



We must kill you before you kill our patients
 
Back
Top Bottom