Msaada: Mwenye possible za mitihani ya form six NECTA 2016 hasa practical kwa PCB

Hivi nani hana akili? wewe unataka possible au aliekuambia kasome! ni dogo lako sawa! wewe kaka kilaza kweli! Mwambie asome! unamtafutia possible? alikuwa wapi asisome!? Wewe mwenye akili endelea kumwombe possible! mwambie asubiri atapata possible
 
This kind of reasoning is really disapointing.
Aisee, mbaki huko fb na twitter kama bado mnavalishwa nepi, mnafata nini huku??
Mnakera sana,
Hamuelewi hata mnaandika nini.
Mods plz remove this shameful thread.
Aibu hii mazee!! Nchi ya aina gani hii?
Na watu kama nyie njia yenu ni fupi, trust me, na huyu mwenzio unamtetea hatafanikiwa , yaani akijitahidi sana ana four ya 18.
Mimi nimesoma PCB 2010 na nlitusua na atleast naijua science. Anaumbuka huyu...
Ukute we mwenyewe hapo unatumia cheti cha marehemu
 
Nani hawaonee wivu?kama hiyo PCB wenzako tulitusua kitambo kwa point kali tupo zetu MUHIMBILI.
na wewe utakuwa mmoja wao wa vilaza subiri paper liwafilimbe mpka mshike adabu na hawamu hii msitegemee kupata possible kabisa.
akili fupi kusoma hamsomi kazi kushinda fb mnajifanya mabishoo kichwani sifuri.
wenzenu waliosoma hawana presha wanasubiria kesho wakatusue mtihani
Kwani kutusua ndio kwenda Muhimbili pekee acheni majungu yenu kama hamna msaada pigeni chini
 
umenikumbsha mbali sana, kpindi kileeeeeeeee, tulikuwa hatulali, ni kusaka possible nje ndani!!!
Waambie hao wamezidi kuponda utafikiri hata basi hiyo six wamefika, ukute wangine mangwini kisha wameondoka na O
 
Acheni ufala nani kasema Doctor of medicine as a 10 semesters with one year of interniship ina absolute relationship na PCB
Inaelekea wewe ndio fala sasa sababu ufala ndio tabia yako basi unadhani kila mtu ni fala kama wewe...
 
Watu bana! Ok! bora ujinga usio na hasara kuliko elimu isiyo na faida! Possible, possible! kama NECTA huwa wanatoa(sihawahi ona, ninachojua waalimu wa somo huwa wanatoa hints tu ) Kwann msiwasubiri hao NECTA walete!? Very simple tulia subiri NECTA watoe hints! Kasome! we kama mwanafunz saa hizi unajibu comment za watu hapa ukisubiri possible, nadhani 0 inakunukia!
 
Anyway possible ni two sides result, iwepo su isiwepo! nikuombee tu kwa Mungu ukipata hiyo pocble na ikawepo sawa, yote kheri! lkn sio ndio uti wa mgongo, pitia sana previous practicals wanatabia ya kurudia hasa ya 2 to 3 years past! Mtihani mwema
 
Back
Top Bottom