Msaada: Mwenye possible za mitihani ya form six NECTA 2016 hasa practical kwa PCB

Kama upo serious Nicheki WhatsApp 0653610147 tupeane michongo flani
Asante
 
Unaacha kusoma unaafuta possible,ndo nyie nyie badae badala ya kufanya upasuaji wa mguu unafanya wa kichwa.
 
Mpaka hapo usha feli ww kwa stail hiyo, kama unafikiri bado upo kipindi cha BRN nikupe pole.
enderea kulala ndoto xako zitatimia
 
Acheni kumpotosha,wangapi wanakuja uku kuomba muongozo wa Interview questions? mbona mnawapa na wengine wanatumia hadi notes za kusoma? kwanini uyu anaomba possible questions mnamtamkia maneno ya kukatisha tamaa? acheni wivu wa kike msaidie kama una uwezo kama hauna kausha.Mtihani mwema mkuu
 
Yan we uliyeleta hii mada ndio akl huna kabsa hujui wengne humu ni Usalama
 
Acheni kumpotosha,wangapi wanakuja uku kuomba muongozo wa Interview questions? mbona mnawapa na wengine wanatumia hadi notes za kusoma? kwanini uyu anaomba possible questions mnamtamkia maneno ya kukatisha tamaa? acheni wivu wa kike msaidie kama una uwezo kama hauna kausha.Mtihani mwema mkuu
This kind of reasoning is really disapointing.
Aisee, mbaki huko fb na twitter kama bado mnavalishwa nepi, mnafata nini huku??
Mnakera sana,
Hamuelewi hata mnaandika nini.
Mods plz remove this shameful thread.
Aibu hii mazee!! Nchi ya aina gani hii?
Na watu kama nyie njia yenu ni fupi, trust me, na huyu mwenzio unamtetea hatafanikiwa , yaani akijitahidi sana ana four ya 18.
Mimi nimesoma PCB 2010 na nlitusua na atleast naijua science. Anaumbuka huyu...
 
Unataka majibu sio siku zote umecheza leo unataka possible. Maana ya ww kupelekwa shile ni nini???. Au ulitumwa ukakue afu badae uombe possible. Shame on you
 
Acheni kumpotosha,wangapi wanakuja uku kuomba muongozo wa Interview questions? mbona mnawapa na wengine wanatumia hadi notes za kusoma? kwanini uyu anaomba possible questions mnamtamkia maneno ya kukatisha tamaa? acheni wivu wa kike msaidie kama una uwezo kama hauna kausha.Mtihani mwema mkuu
Nani hawaonee wivu?kama hiyo PCB wenzako tulitusua kitambo kwa point kali tupo zetu MUHIMBILI.
na wewe utakuwa mmoja wao wa vilaza subiri paper liwafilimbe mpka mshike adabu na hawamu hii msitegemee kupata possible kabisa.
akili fupi kusoma hamsomi kazi kushinda fb mnajifanya mabishoo kichwani sifuri.
wenzenu waliosoma hawana presha wanasubiria kesho wakatusue mtihani
 
This kind of reasoning is really disapointing.
Aisee, mbaki huko fb na twitter kama bado mnavalishwa nepi, mnafata nini huku??
Mnakera sana,
Hamuelewi hata mnaandika nini.
Mods plz remove this shameful thread.
Aibu hii mazee!! Nchi ya aina gani hii?
Na watu kama nyie njia yenu ni fupi, trust me, na huyu mwenzio unamtetea hatafanikiwa , yaani akijitahidi sana ana four ya 18.
Mimi nimesoma PCB 2010 na nlitusua na atleast naijua science. Anaumbuka huyu...
najua nature ya binadamu n roho mbaya na ubinafsi ila wewe umezidi
 
Watu kama hawa ni wa kupuuza
Uzuri ni kuwa wengine hawafaham hata maana ya practical na kwann nasema na shida na possible
By the way tumeshazipata na tunachokwenda kufanya ni kuchukua alama nying zaid
Asante
 
Kama kichwa kinavosema ndugu yenu natafuta .. Mwenye nazo ani pm tuongee
Kama kichwa kinavosema ndugu yenu natafuta .. Mwenye nazo ani pm tuongee
Kama kichwa kinavosema ndugu yenu natafuta .. Mwenye nazo ani pm tuongee
Nani hawaonee wivu?kama hiyo PCB wenzako tulitusua kitambo kwa point kali tupo zetu MUHIMBILI.
na wewe utakuwa mmoja wao wa vilaza subiri paper liwafilimbe mpka mshike adabu na hawamu hii msitegemee kupata possible kabisa.
akili fupi kusoma hamsomi kazi kushinda fb mnajifanya mabishoo kichwani sifuri.
wenzenu waliosoma hawana presha wanasubiria kesho wakatusue mtihani
waache ukilaza wasome sio kutegemea POSSIBLE QUESTIONS watapewa yasiostahili ni bora kuamini UBONGO wako kuliko kusubiri usichokua na uhakika nacho
 
Back
Top Bottom