dantes steven
Member
- Aug 25, 2012
- 11
- 1
Naombeni msaaada wana jamvi tafadaharini nimechaguliwa hii course pale udom kuhusu upatikanaji wa ajira uko vipi na inahusu nini hasa,
Wewe, hakuna degree isiyo na soko Tanzania, lakini kuna wahitimu wasio na soko.
Soma kitu chochote unachokipenda, ulichopata fursa ya kukisoma na hata ambacho ulikuwa na ndoto nacho au hukuwa na ndoto nacho, jambo la msingi ujue vitu katika taaluma husika, swala la ajira wenda kwa kuajiriwa au kujiajiri litafanikiwa tu.
Ushauri mzuri ni wewe soma the uanzishe hizo ajira kwa kujiajiri ili uwasaidie vijana wenzako
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
mkuu hiyo bis imechanganya kozi za it na za biashara.
Inatolewa udom tu na maranyingi inachukua watu wachache.
Sio ngumu ila kwa mazingira ya cive *colleg ya udom utakayoenda kusoma* yana changamoto sana,
disco ni za kumwaga, mfn mwaka jana watu 89 wali disco kati ya 1s to 2nd na 2nd to 3rd.
Unahitaji ukasome sana.
Kuhusu ajira usiwe na wasiwasi, ni wewe tu ufaulu vizuri na mambo uyajue.
systems analyst, consultant - kwa tz inachukuliwa kimzaha mzaha lakini kwa nchi zilizoendelea ni lazima uwe na experience ya si chini ya miaka 10, ni lazima uwe na background nzuri ya business, technical and most of all huwa inasomwa at postgraduate level
sijakuelewa vizuri hapo kiongozi naombba nieleweshe vizuri kwamba kwa Tz haina dili au ni vipi nielekeze vizuri maana unayomaanisha
Hapo kwa ushauri wako mkuu maana niliomba na diploma ya umeme nikasome tu hiyo diploma au nakakomae nayo hiyo business informaxn system
Wewe, hakuna degree isiyo na soko Tanzania, lakini kuna wahitimu wasio na soko.
Soma kitu chochote unachokipenda, ulichopata fursa ya kukisoma na hata ambacho ulikuwa na ndoto nacho au hukuwa na ndoto nacho, jambo la msingi ujue vitu katika taaluma husika, swala la ajira wenda kwa kuajiriwa au kujiajiri litafanikiwa tu.
mkuu hiyo bis imechanganya kozi za it na za biashara.
Inatolewa udom tu na maranyingi inachukua watu wachache.
Sio ngumu ila kwa mazingira ya cive *colleg ya udom utakayoenda kusoma* yana changamoto sana,
disco ni za kumwaga, mfn mwaka jana watu 89 wali disco kati ya 1s to 2nd na 2nd to 3rd.
Unahitaji ukasome sana.
Kuhusu ajira usiwe na wasiwasi, ni wewe tu ufaulu vizuri na mambo uyajue.
Naombeni msaaada wana jamvi tafadaharini nimechaguliwa hii course pale udom kuhusu upatikanaji wa ajira uko vipi na inahusu nini hasa,
mkuu hiyo bis imechanganya kozi za it na za biashara.
Inatolewa udom tu na maranyingi inachukua watu wachache.
Sio ngumu ila kwa mazingira ya cive *colleg ya udom utakayoenda kusoma* yana changamoto sana,
disco ni za kumwaga, mfn mwaka jana watu 89 wali disco kati ya 1s to 2nd na 2nd to 3rd.
Unahitaji ukasome sana.
Kuhusu ajira usiwe na wasiwasi, ni wewe tu ufaulu vizuri na mambo uyajue.
Kama Umepata huo mkopo na hio nafasi soma, kama hukupata ajira tanzania hata nje ya Tanzania zipo.