Msaada: Mwenye cd ya window 7 home basic...

uko mkoa gani? kama unataka kununua kabisa si uende kwenye maduka ya pc?
 
nitaangalia kesho kesho kama win 7 home ninayo nakumbuka nina win 7 pro kama nitakuwa nayo nitakutumia ila utalipia gharama za kutuma..
 
Nahitaji cd ya window 7 home basic 64 bit ili nifanye installation kwenye laptop ni vzr ukiniuzia kabisa...Namba ya simu ni 0652827198...

nipo dar, hiyo cd 32/64-bit zipo so unaweza nichek maeneo ya Mlimani city/Lufungila ndio office yangu ilipo. 0769741223 unaweza SMS hapo twende sawa
 
kama una dvd empty na nauli utarejesha nitakuletea hiyo hiyo home basic sp1. usikubali kununua kama haina key ambayo ni unactivated na wenye maduka ya pc ndo wana uwezo wa kuwa na hizo keys
ni pm
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom