Msaada: Mtanzania Anayetoa Mizigo Marekani

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Habari wakuu!
Ninataka kusafirisha refurbished printer toka Marekani. Kwa wazoefu wanajua ilivyo shida ya kusafirisha vifurushi toka nchi za Ulaya na Marekani.
Ninaomba kama unamfahamu mtu yeyote mtanzania anayesafirisha mizigo yake kuja Tanzania toka sehemu yoyote Marekani kwa kutumia container, tafadhali ni PM contacts zake.
 
Mkuu Ozzie wasiliana na Issa Michuzi (issamichuzi@gmail.com) atakupa contacts za hao jamaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom