Msaada: Ms word 2007............

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Wadau kuna doc nime edit kwa kutumia word 2007, wakati wa ku save inanijibu The save failed due to out of

memory or disk space


Msaada wenu wana Jf
 
Wadau kuna doc nime edit kwa kutumia word 2007, wakati wa ku save inanijibu The save failed due to out of

memory or disk space


Msaada wenu wana Jf

Computer yako ina uwezo gani kwenyye RaM oa hard disk angalia kati ya hivyo vitu viwili kuna tatizo lakin kikuwa huwa kina kunakuwa drive kama imejaa na akuna space ya kuweza kuweka data
 
unaweza kuta una partition let say c na d then word default inasave kwenye drive c wakati wewe drive c umeijaza na d ina space.

Kama ni kama hapo juu change default path ya word isave sehemu yenye memory
 
Back
Top Bottom