MSAADA: Mpenzi wangu ananisachi!

Awe na mipaka, si vizuri...atakuja kukuambia kazi yako ana uhuru nayo...weka wazi kuwa hupendi na tabia hiyo aache.
 
Take care coz ana weza kukuchezesha game ukakuna kipara kwa mawazo coz kwanin mpaka umuachie mwanya ndo ana kusach? nahic anakusomea raman.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom