Msaada:monitor inapoteza rangi

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
habari wana jamvi,
naomba msaada wa ushauri wa kitaalamu kuhusu monitor yangu (sony multscan E400),kwani ghafla imeanza kupoteza rangi na ukiigonga inakaa sawa,yaani inarudi ktk rangi ya kawaida.Au wakati mwingine inarudi yenyewe ama ktk hali yake ya kawaida au kupoteza rangi.
wataalamu naomba mnisaidi hili ni tatizo gani na limesababishwa na nini,na linatibikaje? Nataraji msaada wenu wakuu.
 
maranyingi inakuwa ni cable ya vga inakuwa iko lose cable inayotoka ktk monitor inayo ingia ktk pc itingishe ule waya wa pale nyuma kwenye monitor na kwenye pc utajua lose iko wapi au badili cable utajua tazizo
 
waya wa VGA imeshaanza kukatika so kama unaweza kubadili fanya ubadilishe
 
ukiona hivyo ujue tatizo liko kwenye VGA cable ambayo inapitisha mawasiliano kutoka kwenye monitor yako kwenye kwenye System Unit yako. Cha kukushauri wewe nunua VGA cable mpya na kila kitu kitarudi kuwa sawa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom