Msaada: Mme wangu hapendi kuoga!

Inabidi jion hii nikamuulize mamsap kama yeye nae ni memba wa JF maana kama aliyosema Faith yananigusa..LOL

....kaka ina maana hata ukimaliza majambozzz na shemeji huogi??? maana majambozz hufanyika jioni au usiku mara kedekede.

kuna rafiki yangu huwa akivaa soksi moja mpaka mwaka unaisha habadili na ukisimama karibu yake utapata bonge la sound la smell..... isije ikawa ndo wewe
 
ninakaa uswahilini so kwa mabafu haya ya kwetu huku haiwezekani kwanza bafu lenyewe dogo mtu mmoja tu hatoshi fresh!

chee%20073.jpg


chee%20003.jpg


chee%20097.jpg


Bibie faith;
Awali ya yote, bafu la kwako lipo katika mfano gani ukilinganisha na hayo hapo juu?
 
Last edited:
jaribu kufanya bathroom more attractive.i mean weka rose flowers,mishumaa ya harufu and dim lights.then uwe unaoga nae siyo unamuacha tuu mwenyewe probably anaogopa!


Ah jamani mi staki.... haya kama ndo bafu la kushare nyumba za kupanga??... niwe napeleka maua kila nkimuwekea maji ya kuoga?. mbona utumwa.!!

Haya dada mwenye mume. mkiwa shughulini hana tabia ya kuomba umshukie?? maana kama anayo afu haogi mmijasho ya kutwa kucha atakuwa anakuonea na hana utu.
 
Da pole sasna ila nimecheka sana comments za watu humu, i hope atona umuhimu wa kuoga siku moja
 
Roya, ukioga hautawekewa upupu, ukileta ubishi wako upupu utaukalia!! Chaguo ni lako :)
Kuoga nitaoga, lakini hili la upupu! Natafakari kuhamia kwa bi mdogo Sinza kwa Remi....nadhani yeye hamaindi sana nisipooga
 
Kuoga nitaoga, lakini hili la upupu! Natafakari kuhamia kwa bi mdogo Sinza kwa Remi....nadhani yeye hamaindi sana nisipooga

...naye tutamshauri ajiunge na JF tumpandishe jazba. huna pa kwenda bali bafuni na mche wa gwanji utakaokutakatisha!!!
 
...naye tutamshauri ajiunge na JF tumpandishe jazba. huna pa kwenda bali bafuni na mche wa gwanji utakaokutakatisha!!!

Steve unajua kuoga mara kwa mara ni matumizi mabaya ya resources (soap,water and time)....asubuhi naingia kwenye gari (full kiyoyozi) then ofisini full kiyoyozi, then nachafukia wapi? Don' ask, if that the case kwa nini nakaa kwenye nyumba ya uswazi...nakwepa mkono mrefu wa JK, si mnajua tena ishu za EPA?
 
Mimi ni mwanamke, nilieolewa tatizo linalonisumbua ni kua mume wangu nashindwa kum-define ni mchafu au anatatizo mana hapendi kabisa kiuoga esp jioni! smtimes hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana! pia cku za w'end yy huoga jionii yaani anashinda bila kuoga cku nzima, . na huwa naanda maji mm mwenyewe tena yaliochemshwa(mana anapotaka kuoga hupenda kuoga maji ya vuguvugu) unaweza ukaweka bafuni hadi ukaenda kuyatoa!yy anachotaka ni kuoga mara moja kwa cku!sasa akioga asubuhi anavoenda kzn ndo bac akirudi haogi
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?

Faith,
Utakapoanza "KU(-m-)LA CONE" atakuwa anaoga utadhani ni chura!
 
hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana!

Hehehehehe hahahahaha, samahani kwa kucheka. Sasa ukikuta siku moja kaoga na anaongea na binti wa jirani juwa ndoa iko hati hati.
 
Za leo wandungu,

I have just registered my self today and i want to start a topic but i have tried to check how i can do it nimeshindwa kwa kweli. Samahanini maana imenibidi nidandie humu humu.

Mhh basi mkuu post ya kwanza moja kwa moja kwenye mapenzi?
 
Da pole sasna ila nimecheka sana comments za watu humu, i hope atona umuhimu wa kuoga siku moja
kwikwikwikwi hapa sina mbavu....mara wengine awekewe upupu.....mwingine ndio kaniua eti mwanamama asioge wawe ngoma droo hehehehee
 
Nakushauri kwanza kabisa kama sio kwamba unashindwa kumbeba basi uwe unambeba mgongoni hadi bafuni, halafu uwe unamuogesha wewe mwenyewe tena umsugue taratibuuuu, hata kama bafu ni dogo huko mbanane tuu. Au basi umuogeshee chumbani kwenye beseni kama mtoto mdogo kwa kumfuta na taulo lainiii
 
sasa u-house awe anaijia bafuni usimnyime, ataoga tu. maana wanawake wengine wanakua turned on wakisikia kaharufu kidogo atawatafuta wa hivyo. Bafuni huko huko ndio yawepo mambo yetu yale, mwambie change of plans, ndio ubunifu wenyewe huo,unamwambia atangulie kabisa umkute na birthday suit, eeh ndio mambo yenyewe hayo kwa shida na raha, till death tears us apart, eeh isiwe till dirty and nasty tears us apart, eeeeeh ndoa bwana, ndoano.

Hayo yatawezekana kwenye bafu za uswahilini?

Mbona dawa unayo Faith? ulisema ukimtishia kunyima uroda anaoga, kazana na dawa hiyo, na siku akioga mpe uroda WA KUFA MTU na muahidi akioga atapata zaidi teheee teheee
 
Unaposema mwendawazimu ni Binadamu wenye uhuru bila Nidhamu unakuwa unakosea .kwani nidhamu ni jambo ambalo hulifanya mtu mwenye akili yake timamu na mwendawazimu anakuwa hana akili kwa hiyo hawezi kufanya nidhamu kwani anakuwa hajuwi tafauti ya mazuri na mabaya ungetumia maneno mwenda wazimu ni binadamu mwenye uhuru asiyekuwa na akili
 
............smtimes hadi namtisha kua simpi uroda ...............

Wewe ni kiboko! umegunduaje kwamba mbele ya Uroda anaoga bila kupenda?

Huyo mtu asije kuwa anaanza ukichaa we ukadhani ni uzembe. Binadamu yeyote hataki kueleweka kwa uchafu. Iweje yeye?

Usafi mwingine anafanya? Au unamfulia mpaka nguo za ndani?
Anapozitumia anagundua kwamba zimechafuka? au mpaka useme vua hiyo!
Viatu anabrash? na kama ameajiliwa viatu vina matundu au viraka?

Chunguza mengi ili uweze kujumulisha maana akili hupinda pole pole, usije ambiwa hata kazini huacha zip wapi bila kujli!
 
Mimi ni mwanamke, nilieolewa tatizo linalonisumbua ni kua mume wangu nashindwa kum-define ni mchafu au anatatizo mana hapendi kabisa kiuoga esp jioni! smtimes hadi namtisha kua simpi uroda mpaka aoge ndo ataenda tena kwa kulalamika sana! pia cku za w'end yy huoga jionii yaani anashinda bila kuoga cku nzima, . na huwa naanda maji mm mwenyewe tena yaliochemshwa(mana anapotaka kuoga hupenda kuoga maji ya vuguvugu) unaweza ukaweka bafuni hadi ukaenda kuyatoa!yy anachotaka ni kuoga mara moja kwa cku!sasa akioga asubuhi anavoenda kzn ndo bac akirudi haogi
nifanyaje?je huo ni ugonjwa au tatizo?
inabidi kabala ya kuolewa umuulize kabisa mmeo kuwa anapenda kuohga au hapendi
 
Back
Top Bottom