Msaada mkubwa wa maombi unahitajika haraaaaaaaakaaaaaaaa

Ashangedere

Senior Member
Aug 9, 2010
119
31
Mwenzenu mume wangu cha wote, kitu iliyopelekea mimi kumchukia na kutotamani wala kufurahia chakula cha usiku kutoka kwake kwa muda wa miaka miwili, sasa katika pitapita zangu nikakutana na my first BF nimejaribu kumuavoid but chemistryyyyyy hainiachiiii. yani he is sweet mpaka natamani kusema yeeeeeeesss, but he is married ohhhhhhhhhh, nimekaaa chini nimehisi huyu ni shetani ananijia kwenye jambo nyeti hivi, wadau shetani kanishika kweli kweli naombeni msaada wa maombiiiiiiii aniachieeeee uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Usimwendekeze shetani kabisa!
Mkemee
Ashindwe na alegee
Na usifanye ujiza ya kumwalikia watu kumfukuza fanya mwenyewe ajue uko seriuos!
 
Fuata moyo wako dada, wakati wa "pingu za maisha" umepita. Kama mume penzi limekwisha achana nae, move on! Kwa nini kukaa na mtu usiyempenda. Unajipa presha bure hata kwa taifa sio vizuri kwani ufanisi wako kazini hautakuwa mzuri. Wenzetu wanalielewa hili ndio maana talaka ni kitu cha kawaida.
Sasa huyo 1st BF bado naye anakumaindi au wataka kumganda tu! Kam he's on mpe tu
Hamna shetani hapo kwa hiyo no need of maombi
 
Nata, mie kashaanza kunishinda ndio maana naomba msaada, kibukuasili hahahaaaaa, huyu mtu yeye katafuta namba yangu mimi nilikuwa simpi akiomba, na haishi kunifuata too bad he is married angekuwa hayuko married ningechomoka huku harakaaaaa na tena anajua uozo wote wa mtu wangu ananiambia nichomoke, sasa niende wapi yeye yuko blocked LOLl hahahaaa.
 
Kwanza kwenye ndoa yako kuna matatizo,dili na matatizo ya ndoa yako kwanza kwani hayo ndo yanayokufanya uwaze kuwa kuna shetani,uzuri wa huyo BF wako unatokana na ubaya unaouona kwa mumeo!Maliza matatizo yako kwenye ndoa yako mama!
 
Usiondoke dada, matatizo hayakimbiwi! huyo unayemuona sweet kesho atakua tu kama huyo unaemkimbia maana you can imagine ameoa na bado anakuchombeza sasa fikiria keshacombeza wangapi? Muombe Mungu akupe uvumilivu na hekima, ipo siku mume wako atabadilika!
 
nadhani hapo umezuzuka ndugu na unamtazamo wa kwamba mapenzi ya usiku ni kazi ya mme pekee. hiyo ni changamoto tu. pia waweza tembea na kidume kingine ukaona tamu zaidi ya huyo BF uliyemzoeazoea bcoz alikupakupa vijisenti uchwara...maskini dada unapotea. shortly, ndoa yako itavunjika na utaendelea na huyo mme wa mtu full stop. hakuna shida.... ponda raha kufa kwahja.
 
Kumbuka viapo vyako. Kwani ulipoambiwa shida na raha, ulitegemea shida za namna gani?
 
jitahidi kutatua matatizo kwenye ndoa yako kwanza..................kurudia urafiki kwa ex wako ni kuzidisha matatizo......pindi mumewe atakapogundua hayo utaonekana wewe ndio chanzo cha matatizo mbele ya jamii
 
Ame do na ex-...wake,halafu sisi tumuombee!....lakn anaonekana ana upendo zaidi kwa ex-....kuliko kwa mumewe huyu.
 
Kwanza kwenye ndoa yako kuna matatizo,dili na matatizo ya ndoa yako kwanza kwani hayo ndo yanayokufanya uwaze kuwa kuna shetani,uzuri wa huyo BF wako unatokana na ubaya unaouona kwa mumeo!Maliza matatizo yako kwenye ndoa yako mama!
Maliza matatizo ya ndoa yako kwan hata ukimkubali BF wako wa zaman pia hautapata furaha sababu yy pia ni mume wa mtu sana sana utapata aibu ya kumuacha mumeo na kutembea na mume wa mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom