Msaada Memoranda of understanding

Kaka hvo sio vi2 vya kupewa simpo simpo kama unavotaka coz kuna sam siri flan za kampun ndan ya hyo mou.Kama kwel unahtaj ni pm nkukonect na muhuska "muelewane".Unataka kuwa na kampun inayohusika na mambo gan?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom