Msaada: Mchakato wa Kupata Hati

Goodrich

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
2,091
1,177
Wana JF.
Naomba msaada wenu, kueleweshwa hatua kwa hatua na gharama zake ili kupata hati ya kumiliki nyumba/kiwanja.
Nimejenga maeneo ya Kimara na ninahitaji kupata hati.
Anayefahamu anisaidie ushauri.
Msaada tafadhali !
 
Msaada wenu tafadhali !
Au hata watu wa wizara husika, maana ndio MKURABITA wenyewe huu
 
sina uhakika sana kwa huku mijini...

ila kule kijijini kwetu, unaenda kwenye serikali ya kijiji, unawalipa hela ya wajumbe.....250,000 {kila kichwa anakula kaduguda...... vipi vichwa 25} hizi ni posho ya kikao cha kukujadili....

then watakuandikia barua utaipeleka kwenye halmashauri husika, ila ukitka kupata jibu kwa usahihi nenda ofisi za halmashauri yako watakupa mchakato na gharama zake halali plus takrima....

 
Back
Top Bottom