Msaada: Matumizi ya olive oil na nguvu za kiume

MziziMkavu swali langu lipo hapo namba 8. Tips on how to kuchua uume kwa hayo mafuta featuring vitunguu swaumu. Kuchua kama unapiga nyto au kuchua kwa staili ipi?
ndio kuchukua kwenye kama unapiga punyeto lakini unafanya kwa ulaini sio kwa kutumia nguvu mkuu hekimatele unapiga masaji kama vile mwanamke anavyochezea Uume wako usitumie nguvu fanya taratibu kila siku uume wako utaongezeka urefu na unene wake pia utaongezeka.
 
Last edited by a moderator:
ni wa kike ana miaka 34, tatizo limemtokea kama wiki moja sasa na hakuwahi kuwa na tatizo kama hili.hospitali wanasema presha hakuna dawa wamempa zaidi ya drip nyingi za maji lakini tatizo lipo bado.pia wamempa dawa za usingizi tu
Mkuu rais wa migomo kama upo Dar nenda Kariakoo

kwenye maduka ya Wauza Dawa za Kiarabu wapemba kaulize Dawa mchanganyiko za kula dawa za kiarabu watakupa uzitwange uchanganye pamoja uzichekeche upate unga wake uchanganye na unga w akarafuu

gram 20 na unga wa pilipli mtama gramu 20 na unga wa tangawizi gram 20 ukipatahizo Dawa mchanganyiko za kiarabu huo unga uchanganye na Asali safi mbichi ya nyuki lita moja awe anakunywa kila siku asubuhi kijiko

kimoja kabla ya kula kitu na mchana kijiko kimoja kikubwa cha kulia wali kabla ya kula kitu na usiku kijiko

kimjoam cha kulia wali atumie hiyo dawa kwa muda wa siku 21 mfululizo hiyo dawa na zile takatak za dawa

ulizo chekecha awe anaweka katka kaa la Moto na shuka apate nyeupe awe anajifukiza asubuhi na usiku kwa

muda wa siku 21 uanze hizo dawa siku ya jumapili asubuhi saa moja kuanza kula ki

jiko kimoja na baada ya kwish kula anjifukize hiyo dawa zile takataka zake achanganye na magamba ya

vitunguusaumu akisha maliza kutumia Dawa kama wewe ni mkristo mpeleke kwa mchungaji amuombee dua la

kama wewe ni muislam mpelek kwa sheikh akamuombee duwa atapona hayo ni matatizo ya upepo mbaya wa

shetani uliomkumba hospitali hawaoni kitu hayo maradhi ni shetani. Tumia Dawakisha unipe Feedback ukitaka maelezo zaidi nitumie email address yangu hii fewgoodman@hotmail.com
 
Hapo utakuwa unabahatisha mganga mzizi mkavu......mchanganyiko wote huo?
 
Hapo utakuwa unabahatisha mganga mzizi mkavu......mchanganyiko wote huo?
mkuu Memo Kubahatisha kwangu wewe kunakuhusu kitu gani?kwani wewe ndio mwenye huyo mgonjwa? mbona unaingilia mambo wakati siyo ya kwako mkuu? vipi una dandia basi lisilo kuhusu ? umetumwa nini?mimi nilikuwa namjibu mkuu.@rais wa migomo wewe kinachokuuma kitu gani? Samahani sana jiheshimu utaheshimiwa mkuu.
 
Kaka MziziMkavu hii kitu ushajaribu wewe binafsi na kuona matokeo au unashauri tu watu pasipo we mwenyewe ku experiment?
 
Mkuu Mzizi, ahsante kwa darsa nzuri. Ila nina swali dogo tu. Hivi haya mafuta ya Zaituni ndiyo OLIVE OIL? Kama jibu ni ndio, mbona nakuta Olive Oil nyingi ni For external use only. Jee yapo ya kula? Kuuliza si ujinga Kaka.

Mafuta ya Zaituni pia tunaruhusiwa wenye kisukari kutumia katika mapishi ya vyakula stahili kulingana na maradhi tajwa,
 
Kaka MziziMkavu hii kitu ushajaribu wewe binafsi na kuona matokeo au unashauri tu watu pasipo we mwenyewe ku experiment?
mkuu hekimatele unauliza jibu badala ya kuuliza swali? mimi niliye toa unataka pia nijaribu kuwa inafanya kazi?basi ingelikuwa haifanyi kazi kwanini nimeiweka? au unataka nitangaze biashara ya kuiuza ndio upate kuamini kuwa inafanya kazi?mukipewa vitu vya bure hamna hata shukurani kazi zenu kuhoji maswali mengi utafikiri tupo bungeni.
 
Last edited by a moderator:
Wataalamu Oliver oil nilienda kununua kwa ajili ya matatizo ya tumbo sasa ilipoandikwa "For external use only" niliacha maana kunywa inaweza kunidhuru. Naomba msaada kuna aina ngapi ya mafuta haya au hiyo hiyo inatumika kwa kula?
 
Kanunuwe mafuta yaliyo andikwa Olive oil
 
Huu ushauri wa Jeff usiufuate, nakushauri upate ushauri kwa wataalam

Mkuu Jeff Ni mimi nliyesema kuwa ukiwa unafanya masaji ya uume wako kwa kutumia mafuta ya Zaituni huenda baada ya muda ukaongezeka urefu wake kwa cmt chache

mkuu. Zipo Dawa za Mwenye Upungufu wa nguvu za kiume bonyeza hapa. Tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

Ukitaka kujuwa Faida za Mafuta ya Zaituni yaani kwa Lugha ya kiingerezaOlive oil angalia hapa chini

Mafuta ya zaituni yana manufaa mengi katika mwili na maisha ya binadamu kwa ujumla kama ifuatavyo;

(1)Mafuta ya zaituni hutibu maumivu ya tumbo kwa kunywa kijiko 1 mara 2 kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 11 inshaallah.

(2)Mafuta ya zaituni hutibu masheitani kwa kusomea kisomo cha Ruqia, mgonjwa atajipaka mwili mzima mara moja kwa siku pamoja na kutafuna vitunguu saumu punje tatu wakati wa kulala kwa muda wa siku arobaini inshaallah.

(3)Mafuta ya zaituni ni kinga ya masheitani wa kijini na wa kibinadamu kwa kujipaka mwili mzima mara moja kwa siku.

(4)Mafuta ya zaituni hutibu ugonjwa wa mafua kwa kupaka kwenye mwamba wa pua na ndani ya matundu ya pua mara tatu kwa siku.

(5)Tiba ya vidonda vya tumbo; Matumizi ni kutia vijiko 2 vya chakula katika uji mara mbili kwa siku kwa muda wa siku 90.

(6) Mafuta ya zaituni hutumika kama huduma ya kwanza kwa aliyekunywa sumu kwa kunywa, na kwa mwenye ganzi au kiharusi hutumia kwa kuchua asubuhi na jioni.

(7) Mafuta ya zaituni hutumika katika kuua wadudu wabaya walioko tumboni kwanjia ya kunywa kijiko kimoja mara mbili kwa siku kwa muda wa siku saba.

(8) Mafuta ya zaituni huongeza nguvu za kiume kwa kunywa kijiko kimoja kwa siku pamoja na kuuchua uume mafuta yaliyochanganywa na vitunguu swaumu kwa muda wa siku saba hadi kumi na moja.

(9) Tiba ya ugonjwa wa kusahau: paka katika paji la uso kutwa marambili pamojana kunywa kijiko kimoja cha chai mara moja kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 11.

(10) Tiba ya degedege: hutumika kupakaa mwili mzima mafuta yaliosomewa ruqya, marambili kwa siku kwa muda wa siku 7 hadi siku 21.

(11)Kukojoa kitandani: kupakaa mafuta ya zaitun mwili mzima kutwa marambili huku akilamba matone mawili kwa muda wa siku 7 hadi siku 21.
 
habarini wana Jf
Baada ya pitapita humu jamvini nilikutana na mtualicomment kuhusu kutumia olive oil katika kutibu tatizo la uume kusimama, sikumbuki maelekezo yake ila ndio nimenunua hiyo hayo mafuta na sasa naomba msaada wa namna ya kuitumia, na pia nimejaribu kugoogle nikaona pia ina faida nyingi,kwani inatumika pia kwenye chakula lakini sijui yanatumikaje, unapikia kwenye chakula? au unafanyaje? msaada tafadhali
Mkuu vipi ulishapona au bado unateseka na nguvu za kiume?
 
Back
Top Bottom