Msaada mashine ya kukata na kusaga nyama

Godee jr

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,781
2,372
Kwa anaefahamu jinsi nitakavyoweza kupata machine ya kukata na kusaga nyama, maeneo zinapouzwa na bei zake kwa used and new one.Nawakilisha
 
ninayo ya kusaga used, na bado ipo kwenye hali nzuri sana. if interested Pm me.

otherwise unaweza kupata mpya mtaa wa Jamhuri opposite wizara ya science & technology
 
ninayo ya kusaga used, na bado ipo kwenye hali nzuri sana. if interested Pm me.

otherwise unaweza kupata mpya mtaa wa Jamhuri opposite wizara ya science & technology

Sawa mkuu, nitafanya hivyo soon
 
Back
Top Bottom