Msaada! Mamlaka ya Hali ya Hewa

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,304
12,739
Wana JF, Naomba msaada kama kuna mtu anafanya kazi au anamfahamu mtu anafanya kazi mamlaka ya hali ya hewa anipe contacts zake. Kuna research nataka kufanya, naangalia uwezekano wa kupata data (time series).
Natanguliza shukurani zangu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom