Msaada majina toka bodi ya mikopo siyapati

mshamu

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
418
133
Jamani najaribu kuangalia majina ya walipata mikopo siyaoni na dogo yupo hapa anawasiwasi kweli hakuna aliyeyapakuwa atuwekee hapa jamani
Asanteni kwa watakaonisadia
 
Website zote za TCU na HESLB zinasumbua kwa sasa....kuwa mvumilivu tu.

watu wengi wanabrowse, hivyo avumile. Kwa mfano mimi niliangalia saa nane usiku, ilikuwa raha. Do the same if you can! sasa hivi utapoteza muda mwingi na fadhaa!
 
Back
Top Bottom