msaada madirisha ya alluminium

aspen

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
501
165
wandugu naweza wapi kupata madirisha ya alluminium na bei zao kwa mkoani arusha natanguliza shukhrani
 
wandugu naweza wapi kupata madirisha ya alluminium na bei zao kwa mkoani arusha natanguliza shukhrani

nenda pale matongee kabla haujafika haujaingia ndan pale nje utayakuta,
au kama hapo mtashindana nenda pale nane nane.
 
nenda pale matongee kabla haujafika haujaingia ndan pale nje utayakuta,
au kama hapo mtashindana nenda pale nane nane.

Kinachoniboa madirisha haya,sijui ni mafundi au hizi materials ni feki,kwani huwa lazima yaache nafasi kati ya sliders za vioo na ya mbu.......ila nimeona duka moja hapa hapa Arusha linaitwa PCP mtaa wa sokoine wa micro PVC imetulia kwakweli kwenye ilo tatizo wamelitatua.But microPVC are not best in xtreme temperartures.
 
Back
Top Bottom