Msaada Linux Mint

BinMgen

JF-Expert Member
Jun 18, 2008
1,854
262
Nime install "Linux Mint" kwenye pc, nashindwa kuinstall usb modem ya tigo. naomba shule wataalam.
 
Connect modem ako kwa computer, thn Kwa top panel>network>edit connection>mobile broadband>add na fata procedures zinazofata ni rahisi
 
ubarikiwe sana mkuu.
jengine vipi ku-install software za "exe". kuna utaratibu gani?
Mkuu google kwa sana...
Nilipo install ubuntu mwaka jana ilinisumbua mwanzoni lakini Google ili solve karibu asilimia 99 ya shida zangu

Kuna kitu inatwa wine inabidi uinstall kwanza ndio itawezesha kuistall exe files
Pia join Furums yao humo uki search au kuuliza chochote utapata majibu Linux Mint Forums • Index page
 
ubarikiwe sana mkuu.
jengine vipi ku-install software za "exe". kuna utaratibu gani?

Kuna options mbili kama alivyosema mheshimiwa apo juu....wine ni option moja wapo..ila kunawakati wine hushindwa kurun softwares kubwa...ndo inapokuja option ya pili ya kitu kinachoitwa "play on linux". Hii inauwezo wa ku handle softwre kama microsoft office, explorer, game eg fIfa 2011 n many othrs
 
Back
Top Bottom