Msaada: link ya kudownload na namna ya kutengeneza bootable CD[window XP)/kupata sound drivers

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
wakuu husika na kichwa cha thread hapo juu, nina laptop aina ya lenovo G450 na niliiformat baada ya kushindwa kubadili lugha toka kichina.

Baaada ya kuformat drivers kibao hazijarudi ikiwamo ya sound, nimejitahidi kuzitafuta internet nimekwama.
Baada ya kuchunguza nimegundua kuwa OS niliyoweka ni old version.

Msaada: naomba namna ya kudownload latest version na namna ya kuiburn kwenye cd/kama kuna uwezekano wa kupata drivers mnisaidie.

Natanguliza shukrani
 
ingia extratorrents.com kwenye search box andika windows xp sp3 kisha itakuletea options nyng chagua utakayoona ina seeds nyng then click download via magnet ambayo ndo torrents.
Kama uko dar waweza niona nikakuwekea drivers bureeee kwa dakika 0 kwa hyo hyo windows uliyoweka
 
support.lenovo.com/en_US/research/hints-or-tips/detail.page?DocID=HT072734
 
Back
Top Bottom