Msaada laptop

Ni vizuri mkuu kuomba ushauri kwa wajuzi ka ujuavyo jf hakuna kinachoshindikana.
Niliwahi kuwa na HP pavilion dv 9000 ilinisumbua tatizo la motherboard na hadi sasa nimeiweka k screper kwani ilikuwa inawaka lakini haidisplay chochote katika kuhangaika nilifika hadi ofisi za hp maeneo ya njia ya kwenda muhimbili nilikutana na mdau mmoja pale alinishauri kuwa kwa brand za pavilion na compaq precerios zimetengenezwa maalum kwa cold country kwa nchi zetu za joto zinafanya kazi lakin tunaforce kwani circuit yake inapo overheat inaloose contact ndo maana mara nyingi zinakuwa na tatizo la motherboard na hata ukienda pale ofisini hakuna guarantee service kwa pavilion wala precerio na kamwe hutapewa service under guarantee in hardware parts.Siwezi kukukatisha tamaa kwa hili kwani ni brand ambayo ina mvuto sana na nyingi ni latest version hata price yake sio mbaya.Kwa DELL kuna mdau aliwahi niambia VOSTRO sio madhubuti sana kwa mbilinge za mjini na watu wenye matumizi makubwa.
Kwa mimi napendelea sana HP probook series na DELL studio.Embu jaribu kucheki na Fujitsu pia ni nzuri japo mimi siipendi sababu ya muonekano wake lakini wadau wanadai pia ni brand nzuri isiyo na umaarufu ka ujuavyo wabongo wengi tunaangalia wengi wanapendelea nn.
 
Habari wakuu, naomba msaada wa ushauri nataka nunua laptop kwa matumizi ya kawaida, ipi ni nzuri na naweza pata wapi kwa DSM ambazo c fake. Please, help me.
Dell D 620/630,bei : 460>laptop<600.
hizi nyingi ni Duo/Core 2,zenye processor Not <1.8 Ghz na ram za 1G,kwenye soko langu HDD siyo less than 80 GB.
 
Mkuu HP/Compaq or Sony ndio laptop za kazi--kama unahitaji laptop ya nyodo na mzito kama contena so nunua DELL na kama unataka yai la kuku nunua Fujitsu semen.mimi ninachoweza kukushauri tuni kua kama wewe ni mtu wa multimedia i mean, sound, images and video so hakikisha laptop yako ina intel processor duo na wala sio AMD duo. coz architecture ya intel processors indio kiboko kwa multimedia.
..................................
Sony touch screen with movable monitor ipo kama uko fiti PM me.
--350GB HDD
--3.5GHZ Processor
--DVD Multirecorder
--3GB RAM
--Touch screen
--webcam
--bluetooth
--Wifi
--FIREWIRE CARD
--movable monitor
--12hrs bettry life. (standby)
na makachara mengine nisio yajua mimi--ni TZS 1200000/=
 
Mie nina :-

DELL
1.9gb RAM
1.5gbprocessing speed
40gb HARDISK memory
Full windows office 2007
Anti virus (Karpersky)

Shilingi 300,000/-

Ni pm
 
Back
Top Bottom