msaada:laptop yangu haipigi screensho

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
habari wadau,
naomba msaada wenu ktk hii laptop yangu nimejaribu sana kupata screenshot lakini inakataa.Nikijaribu kutumia on screen keyboard kupiga screenshot inakubali lakini keyboard ya laptop inakataa.
laptop yangu ni compaq presario CQ40
 
ukitumia on screen keyboard huwa unabonyeza key gani? na unatumia program gan kufanya screenshot?
 
1. tafuta batani iliyoandikwa PrtSc, maana yake Print Screen, then bofya hiyo batani.
2. nenda kwenye Programs , then Accesories, then chagua Paint.
3. program ya Paint ikishafunguka, nenda kwenye Edit , kisha chagua Paste, au tumia shortcut CtrL ikifuatia na V, bofya Ctrl + V
4. baada ya hapo waweza kufanya editings zingine kama crop, resize, color, text etc
 
pia hiyo ni window aina gani? You can alternatively kama ni windows 7, from start menu utafute program inaitwa 'snipping tool' it will do you good.
 
1. tafuta batani iliyoandikwa PrtSc, maana yake Print Screen, then bofya hiyo batani.
2. nenda kwenye Programs , then Accesories, then chagua Paint.
3. program ya Paint ikishafunguka, nenda kwenye Edit , kisha chagua Paste, au tumia shortcut CtrL ikifuatia na V, bofya Ctrl + V
4. baada ya hapo waweza kufanya editings zingine kama crop, resize, color, text etc
GP Nlikua namuuliza poposindege ene wei umesomeka
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: GP
eee nlikua cjui nimeelewa kwani kutokujua ni ajabu!
mkuu hapa naona hujanielewa, nami sikujua kwamba ulikuwa hujui, I thought ulikuwa unajua na ukamaanisha nilichoandika. Maybe my sense of humor spilt, sorry for inconvenience.
 
na mm nimejua kama ulikua unajua najua af nikajibu kama cjui!!!! kumbe najua lakini cjui. hamna anaejua ukitaka kujua kama mtu anajua lazima umuulize kama anajua. Mwingine hajui na anaendelea kutokujua kwa kujua kwamba kutokujua ni ujinga kumbe hajui wanaojua nao walikua hawajui. ha ha ha jf bhana
 
wadau nashukuru sana nimefanikiwa.Napiga screenshot kama kawa ahsanteni sana.Ngoja nibofye kitufe cha like
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom