Msaada: Laptop inapata moto sana...

Erick_Otieno

JF-Expert Member
Mar 28, 2010
624
1,020
Hii laptop inapata moto sana, imepungua speed ya kufungua mafaili na kudownload, inagoma kuinstall antivirus na inavuma kwa sauti sana. Nimeitumia kwa miaka 4 sasa na ilikua safi kabisa, matatizo yameanza miezi mitatu iliyopita baada ya kuondoa kaspersky antivirus trial version. Nipeleka kwa mafundi wawili lakini tatizo bado lipo...wakuu naomba solution?
 
hiyo computer ni aina gani?
 
CPU Fan ina tatizo,inatkiwa kuwa replaced.huo mvumo ni dalili tosha kuwa CPU fan ni mbovu.pia mkuu usifikiri kila mtu hapa mujini ni fundi wengi ni wababaishaji,jua ya kuwa sio kila mzungu ni Padre.
 
Chipukizi 'hammer time' time unayopiga si mchezo.....dah ile mzungu ni padre umeua! Unaweza kunipatia fundi atakenisaidia hii problem?
 
Back
Top Bottom