Msaada: laptop ina restart gafla nikiwa natumia internet

Kal4kaizy

Member
May 2, 2012
66
8
Tatizo hili la computer ku restart nikiwa natumia internet utokea mara kwa mara, naombeni msaada wenu wataalam
 
mie yangu ilikuwa inahabaneti yenyewe, kisha naipumzisha kama nusu saa hivi, then inapiga mzigo. Kuna mtu akasema maybe ni virusi, trojan ama worms. Nikabadili antivirus toka avast! hadi Panda, ni wiki imepita, sijaona tatizo so far
 
kama unatumìa modem basi hilo tatizo nam4 lishanitoke soln ni kwamba itabidi uchomeke kwenye port nyingine kabisa kama ulikua unatumia za mbele weka za nyuma(desktop) kama unatumia za kushoto chomeka za kulia(laptop) and vice versa
 
Possible kuna software ina run pasipo kui-comand so hiyo n virus unatakiwa uwe na antivirus strong na iwe up to date then u scan compuper mara kwa mara au kama window yako n genuine download Microsoft Security Essential through microsoft.com then update na ku scan kama kawaida
 
mie yangu ilikuwa inahabaneti yenyewe, kisha naipumzisha kama nusu saa hivi, then inapiga mzigo. Kuna mtu akasema maybe ni virusi, trojan ama worms. Nikabadili antivirus toka avast! hadi Panda, ni wiki imepita, sijaona tatizo so far

MSE ndo mpango mzima mkuu
 
Possible kuna software ina run pasipo kui-comand so hiyo n virus unatakiwa uwe na antivirus strong na iwe up to date then u scan compuper mara kwa mara au kama window yako n genuine download Microsoft Security Essential through microsoft.com then update na ku scan kama kawaida
Hapo kwenye red 100%
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom