Msaada: laptop battery, 29% available plugged in, not charging!!

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
ni toshiba satellite A500, win7 64 bit....tatizo hili limeanza jana...nimejaribu options zote nilizozipata kupitia google but where...nikichomeka charger inawaka na battery ndo inaonyesha hivyo (asubuhi ilikuwa 33% saiz imefika 29% which means its discharing) pamoja na kuwa nimechomeka power, nikichomoa tu adaptor inazima hapo hapo na nikiwasha bila adaptor haiwaki...kama kuna mtu amekutana na kitu kama hii!!!??
 
duh..i guess nianze kufanya mpango wa battery mpya tu...:confused2:..:angry:
 
ni toshiba satellite A500, win7 64 bit....tatizo hili limeanza jana...nimejaribu options zote nilizozipata kupitia google but where...nikichomeka charger inawaka na battery ndo inaonyesha hivyo (asubuhi ilikuwa 33% saiz imefika 29% which means its discharing) pamoja na kuwa nimechomeka power, nikichomoa tu adaptor inazima hapo hapo na nikiwasha bila adaptor haiwaki...kama kuna mtu amekutana na kitu kama hii!!!??

yaani hata mimi nimepata tatizo kama lako,je umeshapata ufumbuziii???
 
tatizo linaweza kuwa ni battery imekufa au ni adapter ina shida.
nini kifanyike?
kwanza tafuta adapter kama yako ujaribu kama itakuwa inacharge kama itacharge peleka adapter kwa fundi kama haicharge jaribu kubadili battery na tumia adapter yako kucharge uone.
 
nina experience na hii kitu, battery yako ndio inakufa hivyo.. hiyo %ge itazidi kushuka chini mpaka kufikia 0.. solution: Anza kutafuta battery mpya, usipoteze fedha kwa mafundi
 
Back
Top Bottom