Msaada kwenye tutaa....

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
wapendwa katika jinaa la bwanaa,ma bibi na mabwana...kuna tatizo linanisumbua kijana wenu,sijui niseme ni bahati au mkosi,mi na miaka 26 nimeshakuwa na usiano kama mara tano ila yote nuksi.tatizo ni hili nisiwachoshe...kilaa demu ninae taka kua nae nakutaa ana mtoto na mwanaume mwingine,yani sijaa bahatika kupata msichana ambae hana mtoto,demu nilie nae sasaa ana mtoto mmoja japo hakuniambia tulivyo juana ila alikuja kuniambia yeye ana mtoto ila hakai na mzazi mwenzie cse wameachana,nashindwa kujuaa niendelee nae au nimpige chini.
 
chek wampenda au aumpend?kwan km amezaa kuna shda gan?
mtoto anazuia nin?
au uliapisha utakuja oa dada aliyezaa b4?
 
haya bana mi nilijua tu utafika huku!!!!!!!!!kweli mbio za panya huishia ukingoni!sasa labda useme tu natafuta mchumba hapa JF ambae hana mtoto!wapo watakusikia!!!!!!!!!!!!!!!!!Rose,smiles, wiselady hebu msaidieni huyu kijana!!!
 
Pole sana B'Real... Ila kama kweli unampenda mtoto hawezi kuzuia mapenzi yenu yaendelee ila kama Uliapa huwezi kuoa mwanamke mwenye mtot inabidi upunguze papara wapo wengi tu ambao hawana watoto...
 
Mtoto hazuii kitu......kama unampenda na yeye anakupenda kwa dhati then sidhani mtoto anazuia jambo lolote ila.....mind you kuwa isije kuwa anatafuta malezi ya mtoto maana hujatuambia why uliachana na hao wengine wenye watoto pia.....
 
haya bana mi nilijua tu utafika huku!!!!!!!!!kweli mbio za panya huishia ukingoni!sasa labda useme tu natafuta mchumba hapa JF ambae hana mtoto!wapo watakusikia!!!!!!!!!!!!!!!!!Rose,smiles, wiselady hebu msaidieni huyu kijana!!!
bacha wewe nakwambia ntakufunza adabu..nan kakwambia sjaolewa?au ndo non wife material hahahahahahaah!!!!!!!!
aya bwana
mi nipo nipo bwana swaga zenyewe km izi daily vilio ndoa ivi ndoa vile....ahh naona shida tu
m stl prayng to god anipe ADAMU wangu atakayenifanya EVA wake
lakin awa wanaojishaua shaua machon pangu naona ndo wale wale wanataka wanifanye km sebule wanipite ili waende chumban kwao ...
time wl tel wen m ready i wl DECLARE apa apa jf .....!!!!!!
 
Kama imekutokea mara 5, na zote wana watoto basi inakupasa uelewe kuwa hao ndio majaliwa yako dogo chagua mmoja uhangaike nae usitafute maradhi kwa kumtafuta asiye na mtoto,na ukumbuke waswahili walisema kuchamba kwingi mwisho utatoka na............!!!
 
bacha wewe nakwambia ntakufunza adabu..nan kakwambia sjaolewa?au ndo non wife material hahahahahahaah!!!!!!!!
aya bwana
mi nipo nipo bwana swaga zenyewe km izi daily vilio ndoa ivi ndoa vile....ahh naona shida tu
m stl prayng to god anipe ADAMU wangu atakayenifanya EVA wake
lakin awa wanaojishaua shaua machon pangu naona ndo wale wale wanataka wanifanye km sebule wanipite ili waende chumban kwao ...
time wl tel wen m ready i wl DECLARE apa apa jf .....!!!!!!

Adamu wako kashapatikana anaitwa Paka Mweusi muda wowote ukitaka atakufanya Eva wake
 
We utulie na mmoja tu mapenzi haijalishi kama mwenzio ana watoto au la kikubwa ni maelewano yenu.
 
Kuwa na mtoto haijalishi, labda kama humpendi, mtoto hawezi kuzuia mapenzi yenu.
 
Sasa wewe kujua kuwa na mtoto si umejua baadae kabla ya hapo kulikuwa na ubaya gani? Si mlikuwa mna............bila shida tatizo la mtoto linatoka wapi tena? Ama ushamchoka unatafuta kisingizio cha mtoto? Kuwa mkweli na muwazi bwana
 
hi all,

Mara nyingi watu huwa hawapendi wanawake au wanaume wenye watoto sababu inaweza kuwa ni kuona gharama ya kumgharamia mtoto ambaye si wako. nyengine inaweza kuwa ni tatizo la kisaikolojia kwamba loh, mpaka amezaa! kumbe ni kawaida tu, what make a marriage ni love, yani kaka kama kuna mapenzi u forget abt everything. ila sikiliza moyo wako, kama hutaki mwanamke aliyezaa, ndugu yangu muombe Mungu mwambie unataka mke wa aina gani na b4 getting realy in love, mchunguze mwanamke sana, kwao uliza kila kitu. dont jump to some1 mnashare kila kitu na ahadi halafu ndo mnauliza kwani wewe ulisoma wapi, uliishia darasa langapi?, uliwahi kuwa na mtoto, too late, u end up hurting yourself na kurudi palepale kila siku na kuita mkosi. na wengine tujifunze. kusoma kwanza ndo ahadi. cheers!
 
mama beto that good advaice...kumpenda na mpenda,ilaa mi ndo kwanza naaza maisha,mwezangu alishaa kaa kwenye ndoa/au kawekwa ndani,tatizo lingine jamaa ake mkorofiii sanaaaa
 
ila kuoa mwanamke mwenye mtoto yataka moyo siku ya siku mwenye mtoto anakuja kumsalimia mtoto home kwako na wewe haupo.... Wakikumbushia je?
 
wapendwa katika jinaa la bwanaa,ma bibi na mabwana...kuna tatizo linanisumbua kijana wenu,sijui niseme ni bahati au mkosi,mi na miaka 26 nimeshakuwa na usiano kama mara tano ila yote nuksi.tatizo ni hili nisiwachoshe...kilaa demu ninae taka kua nae nakutaa ana mtoto na mwanaume mwingine,yani sijaa bahatika kupata msichana ambae hana mtoto,demu nilie nae sasaa ana mtoto mmoja japo hakuniambia tulivyo juana ila alikuja kuniambia yeye ana mtoto ila hakai na mzazi mwenzie cse wameachana,nashindwa kujuaa niendelee nae au nimpige chini.

Labda ndiyo majaliwa yako kama kweli unampenda na unaona ana sifa nyingi za kustahili kumuita mkeo basi chakarika ili muunde familia halali badala ya kuendelea kuwa familia haramu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom