Msaada kwenye tuta

Kwanza tongozo litakushindaje mpaka unalihamishia kwa mpenzio??
Kipipi, ukisoma mtoa mada hajasema limemshinda,
ameuliza tu kama watu wanatakiwa kuambiana.
Mi nadhani kila couple ina makubaliano mbalimbali
wengine wanaona ni sawa, wengine wanaona sio sawa. Hayo ya kusema umshtaki mtongozaji kwa mumeo
yameletwa na Mkuu Fazaa. Mi sidhani kama ni solution. Utashindwaje kumkatalia mwanaume anae kutongoza?
Na utamwambiaje mume wako/mpenzi wako akaongee nae?
Mpenzi wako is a special person, hatakiwi kujichanganya na kila mwanaume huko nje.
Hujui kuna wanaume wanaona sifa just because unaonekana ulishindwa nguvu na kumshirikisha mpenzi wako?
 
Kwani nahishi kwa kuwaeleza wenzangu kinacho endelea maishani mwangu?
wenyewe wananieleza ya maishani mwao? si nasema tu sitaki kupokea hii sim?
Halafu sijasema ku act strongly ni physical strength, ni character strength.
Character strength muhimu sana katika hili zoezi, na kila mtu anatakiwa kua nayo.
Hapo naona unajikanyaga kabisa ukienda kwenye character strength, mana hilo neno lina kubaliana kabisa na point yangu..do the right thing regardless of the consequences :biggrin:
 
Hapo naona unajikanyaga kabisa ukienda kwenye character strength, mana hilo neno lina kubaliana kabisa na point yangu..do the right thing regardless of the consequences :biggrin:
Your point ni kwamba mwanamke akiona ameshindwa kusema NO
akamwambie mume wake ili mume wake achukue action.
Is that what you call a strong character?
 
Your point ni kwamba mwanamke akiona ameshindwa kusema NO
akamwambie mume wake ili mume wake achukue action.
Is that what you call a strong character?
Mwali; Strength of character to me, means doing the right thing..Yani kama wife wako anaona huyo mwanaume kazidisha upumbafu anaweza kukueleza sidhani kama kosa.

Inategemea na kila mwanamke anavyo tazama upande wake, wengine hawapendi kero na kufikia ku wambia waume zao ujuwe ni the last option, sababu wameona huyo mwanaume kazidi hasikii.

Kumbuka wengine wana wanawake kama malaika wazuri, sa lazima wafatwe kila wakati na mashetani.
 
Vizuri kama utaonesha upendo wako kwa kumkumbusha unampenda lakini si kwa kutongozwa kwako si njia nzuri katika mahusiano
 
ni ziuri ukamkumbusha unampenda hata kama kwa kumwambia kila wakati unavyojisikia lakini si vyema ukamwambia juu ya kutongozwa kwako...unaharibu
 
Back
Top Bottom