Msaada kwenye tuta

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
niaje wakuu? Back in days kidogo kuna jamaa wangu alinileteaga pc game flani ivi ilikua na like 11gb bt ilikuja na cd 3 ambazo niza kuburn. Napenda kufaham software ambayo unaweza ukamerge a single software ukaburn in more than one cd na isilete shida kwenye installation. Wakuu wengi wanakuja kuchukua games hawana external wanaleta cd sasa unakuta kitu kama call of duty ina 7Gb ivi kwaio inaleta shida kidogo
 
Winrar mkuu! Apa nko kwa 4ne so siwez kupa detail zaidi lakini winrar unaweza fanikisha hii. Kwa mfano namatumaini ushakumbana wakat mwengine unadownload software unakuta iko merged into many rar parts na unapaswa kuzidownload zote ili uweze kuiextract yote sasa. Just nenda katiko iyo iso file ni game so nadhan itakuwa ni iso file. Nd lazma uwe ushainstall winrar. Then rite click it alaf nenda kwenye option ya add to archieve then itafunguka winrar na options za kuimake iyo file into an archieve sasa angalio options zote apo. Ambapo kuna opt ya archieve yako iwe zip or rar, kama unataka weka pass, e.t.c sasa tafuta sehem imeandkwa make multiple files apo sara utachagua ziwe parts ngap na size gani... Mwishowe itatengneza ayo maseprate files. Then just burn a data dvd na eg. Cd1 iwe ina part1.rar na Cd2 iwe ina part2.rar. Apo nadhan nitakuwa nimejibu swal lako
 
Winrar mkuu! Apa nko kwa 4ne so siwez kupa detail zaidi lakini winrar unaweza fanikisha hii. Kwa mfano namatumaini ushakumbana wakat mwengine unadownload software unakuta iko merged into many rar parts na unapaswa kuzidownload zote ili uweze kuiextract yote sasa. Just nenda katiko iyo iso file ni game so nadhan itakuwa ni iso file. Nd lazma uwe ushainstall winrar. Then rite click it alaf nenda kwenye option ya add to archieve then itafunguka winrar na options za kuimake iyo file insafi
safi san mkuu. asante
 
OK mkuu sasa nimeamia kwenye Pc nakuona vyema kuelezea vizuri process.. Nitaonyesha kwa kusplit video file yangu yenye 180 mb to three

different separate files malezo ya picha yanafuata:

1.jpg

2.jpg

3.jpg

4.jpg

5.jpg

Ok sasa apo utakuwa umefanikiwa kusplit hizo file.. and wewe coz ni game and unataka burn into a DVD utasplit into two files...

Sasa jinsi yakurudisha/extract hayo mafile into your original .ISO file... kwanza lazima
Uhakikisha mafaili yote mawili uyacopy nayawepo kwenye folder moja then fungua moja/double click it alafu...

6.jpg

7.jpg

8.jpg

9.jpg
​Goodluck mkuu!!!
 
Back
Top Bottom