Msaada kwenye tuta

Kilamia

Member
Jul 9, 2008
66
11
Tafadhali nisaidieni jinsi phrase hii `Regional Integration' inavyoweza kutafsiriwa kwa Kiswahili
 
Safi sana Kilamia japo kidogo umekosea. Ni "uhusiano wa kikanda" na sio "mahusiano" pia waweza kusema "muungano/muunganiko wa kikanda". Neno uhusiano linabeba dhana pana zaidi ya "muunganiko". Japo ni zuri pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom