Msaada kwenye tuta!

Oracles

Member
Jul 4, 2010
12
0
Naomba msaada wa source codes za kitabu hiki hapa kwa mwenye nazo(Wiley, PHP & MySQL Everyday Apps for Dummies (2005)). Mwandishi anaitwa JANET VALADE. Soft copy ya kitabu ninayo, lakini Souce codes sinazo.

Nimefikiria kukinunua lakini sina VISA card...pia sina udhoefu wa kununua kupitia amazon...ikiwa kuna ndugu wenye ufahamu zaidi na ununuaji vitu amazon na gharama za utumaji kwa mimi ambaye sipo USA anisaidie tafadhali.

Natangaliza shukrani zangu kwenu.
 
Ok kwanza ulitakiwa u google jina wiley.com au Janet Valade

tembelea site hii ambayo niwebsite ya mwandishi wa hicho kitabu usome malekezo na kudowload source code ya hicho kitabu
Technical Books by Janet Valade: Download PHP Programs

Always make google your best friend. ang givefeedback for sucess or failure
 
Wiley, PHP & MySQL Everyday Apps for Dummies (2005)).

Mtazamaji angalia boldface...hawana source codes za kitabu hicho...
Nashukuru kwa mchango wako...thanks sana

Ukizipata niwekee link tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom