Msaada kwenye tuta wanaJF

Vakwavwe

JF-Expert Member
May 16, 2009
503
100
natafuta video cd ya kujifunza ms excel?mwenye nayo msaada tafadhali au kama unamfahamu mtu mwenye nayo.nataka ya advanced learning siyo beginners.
 
natafuta video cd ya kujifunza ms excel?mwenye nayo msaada tafadhali au kama unamfahamu mtu mwenye nayo.nataka ya advanced learning siyo beginners.

Pakua hii torrent ya Lynda.com Download Lynda com Excel 2010 Essential Training + 2 Extra Courses - Team MJY Torrent | 1337x.org. size ya hiyo video file ni 1.08 GB

Tafuta training za hao jamaa wa lynda zipo nyingi kwenye torrent na za level tofauti. kama hiyo ni cha mtomto kwako cheki hapa training zao na content zake then zitafute mtandaoni au ama una mshiko nunua
 
Back
Top Bottom