Msaada kwenye tuta: Vyama vya siasa na majina yao

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,507
11,252
Wakuu kwa mwenye kuweza kunisaidia idadi halisi ya vyama vya siasa Tanzania pamoja na majina yake kwa mwaka huu 2011 naomba anisaidie.
 
wakuu kwa mwenye kuweza kunisaidia idadi halisi ya vyama vya siasa tanzania pamoja na majina yake kwa mwaka huu 2011 naomba anisaidie.

jana nilimsikia wasira akisema viko 19, kwenye daftari latendwa, majina
1. Ccm
2. Chadema
3. Cuf
4. Tlp
5. Tpp-maendeleo
6. Nccr-maguzi
7.
8.
9.
10.
Endelea
 
jana nilimsikia wasira akisema viko 19, kwenye daftari latendwa, majina
1. Ccm
2. Chadema
3. Cuf
4. Tlp
5. Tpp-maendeleo
6. Nccr-maguzi
7.Appt-maendeleo
8.Narea
9.Tadea
10.
Endelea

Mkuu nashukuru, nimeongezea vyama kadhaa hapo.. Ngoja nisubiri wengine wajalizie.
Ubarikiwe ndugu.
 
Back
Top Bottom