Msaada kwenye tuta tafadhali saidia

Kiroroma

JF-Expert Member
Feb 6, 2009
370
114
Wadau najua ndani ya JF kuna kila kitu chenye kuhitajika,Leo naomba kwenu phone or physical adress za watu hawa;

1.Bon Mwaitege
2. Christina Shusho
3.Rose Mhando
4.Manka Mushi
5.Solomon Mukubwa
6.Flora Mbasha
7.Jennifer Mughendi
8.Joseph Nyuki
9.Neema Gospel Singers
10.Vic Kamata
11.Susan Nyamoko
Asanteni sana na Mungu wetu awabariki
 
Phone numbers and physical address zao zipo kwenye DVD/VCD/CD zao.
 
amen mpendwa.amen amen!!!!
mungu akutangulie katika ilo
km vip nenda mam stores pale kkoo nutapata kila kitu
 
Mkuu, unataka kuwaita katika tamasha ili ukusanye shilingi kdogo teh teh! teh :becky:
 
amen mpendwa.amen amen!!!!
mungu akutangulie katika ilo
km vip nenda mam stores pale kkoo nutapata kila kitu

Wakuu asanteni kwa mchango wenu wa mawazo ila kwa kuwa siko TZ makasha yao ya DVD/VCD sinayo.Natarajia kuwasiliana nao niwaunganishe na Promota mmoja hapa majuu waweze ku compose nyimbo moja ya pamoja itakayowatoa kimasomaso waachane na kulaghaiwa na wajanja wa Bongo. Naomba namba zao za simu au jinsi ya kumtuma mjumbe awasiliane na kufanya majadiliano na mmoja mmoja kisha kuwaweka pamoja.Mungu wetu wa Rehema tunayemtegemea awabariki wote na michango yenu ya mawazo.
 
Back
Top Bottom