msaada kwenye tuta, JINSI YA KUPOST YOUTUBE VIDEOS JF

NDINDA

Platinum Member
Apr 4, 2011
10,322
47,041
wadau sijui kama nimepatia kama hapa ni mahala pake ila naomba anayejua jinsi ya kupost video za youtube humu jf, asateni sana
mdau
 
Mkuu, kwanza unakopi link ya video yenyewe, halafu unafungua hapa juu palipo na alama ya ukanda wa filamu (Insert Video), ambapo itakupeleka sehemu ya kupaste URL uliyokopi kabla.
Hata hivyo wataalamu wanaweza kutoa maelezo yanayofahamika zaidi.
 
asante sana mkuu, nimefanikiwa, KUDOS
 
tumia hii tag, ni rahisi sana

[video]paste link yako hapa[/vide.o]

futa hiyo dot isomeke video
 
Back
Top Bottom