Msaada kwenye Tuta: Gharama za kuchapisha vitabu na magazine

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
739
484
Wadau heshima zenu.

Mimi ni mwandishi wa vitabu na jarida lakini sijawahi kuvichapisha. Nahitaji msaada kujua gharama za kuchapisha kitabu na pia gharama za kuchapisha jarida yaani printing and distributions.

Kwa wale wanauza vitabu naomba kujua jinsi nitakavyouza mitandaoni kama ebay, amazon nk

Asanteni
 
Back
Top Bottom