Msaada kwenye tuta:damu itamwagika! ina maana gani CCM?

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865

Msaada kwenye tuta:damu itamwagika! wasema wana CCM
Swali, Hivi Viongozi wa chadema kusema
  • Kutokana na hali mbaya inayowakabili wa Tz, hizo pesa zisilipwe inahusiana vipi na damu kumwagika?
  • Hivi, CDM wakisema hali ya maisha ya watu wa kawaida imekuwa ngumu kuliko kawaida, inahusiana vipi na damu kumwagika?
  • Watanzania kujua hali zao na haki zao, ina mahusiano gani na hizo damu?
Waache kutisha wananchi make tunategemea serikali kujibu hoja na si kudanganya watu,
nisaidie serikali kujibu: semeni hivi:
  • Viongozi wote wa serikali walio husika na mikataba mibovu, watakamatwa na kufunguliwa mashita.
  • BOT kwa kushirikiana na wizara ya fedha na uchumi wanaangalia uwezekano wa kushusha inflation kwa asilimia 30.
  • Walanguzi wote watachukuliwa hatua. Nakuhakikishia mkwele ukijibu angalau hivyo, maandamano ya CDM yatakosa watu. kulalamika hakutasaidia.


Wataalam twambie kisayansi damu itatokea wapi wakati yanayosemwa ni ukweli mtupu?
 
Kweli kila mtu amekuwa dereva wa hii nchi! Mpelekee uokoe jahazi!
 
Kweli kila mtu amekuwa dereva wa hii nchi! Mpelekee uokoe jahazi!

Simpelekei asome huko huko aliko, make sidhani kama atarudi hivi karibuni, yuko anashangaa wazungu, akirudi anaanza kuomba watanzania wamwonee huruma!
 
Simpelekei asome huko huko aliko, make sidhani kama atarudi hivi karibuni, yuko anashangaa wazungu, akirudi anaanza kuomba watanzania wamwonee huruma!

Duh kunywa maji kidogo mkuu upunguze jazba mwaya.
 
Back
Top Bottom