msaada kwenye simu yangu ya nokia c1 -01

TZ boy

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
625
181
habari kwa wotewana jf mimi simu yangu ni yanokia kila ninapo nunua memorycard bt baadaya kudownload nyimbo kuna faili linavyo andika imgchae sasa nifanyeje au ndo virus?
 
habari kwa wotewana jf mimi simu yangu ni yanokia kila ninapo nunua memorycard bt baadaya kudownload nyimbo kuna faili linavyo andika imgchae sasa nifanyeje au ndo virus?

peleka jukwaa la tech mkuu..
 
habari kwa wote
naheshimu sana mchango wako jamani nina simu aina ya nokia c1-01 kila ninapo nunua memory card nikidownload nyimbo tu ndani ya memory card panakuja faili limeandilwa 'imgchane' nikili lifuta bado linaludi nikiformat bado jamani msaada !
 
habari kwa wotewana jf mimi simu yangu ni yanokia kila ninapo nunua memorycard bt baadaya kudownload nyimbo kuna faili linavyo andika imgchae sasa nifanyeje au ndo virus?

bhaaaaaaaaa ! Peleka ikapimwe kwa phone specialist ujue kama ni virus au gonjwa ya kawaida kabla haijakufia mkuu!
 
Kuna kibanda Ubungo wameandika Phone Doctor. may be simu yake itapata matibabu hapa.
 
Sasa nyie mjiitao ma great thinker mbona mwaishia kukenua na kumkejeri na kumchaka na huku mwajua kakosea??
Kumbuka ya kuwa mbuyu nao ulianza kama mchicha.
 
thank wote walio nishauri ngoja niyafanyie kazi mawazo yenu thanks*
 
ina virus mkuu ww unaformat memocard tu unasahau kuwa virus wanakaa kwenye cm na card so faormat vyote kisha anza upya ucsahau utapoteza kila k2 kwa cm yako
 
jamani faili linaandika imgcache kumbe linatengenezwa na phone hususa nokia na sio tatizo nimejaribu kugoogle
 
Back
Top Bottom