Msaada kwenye simu yangu NOKIA E61i

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Wakuu naomba utaalamu wa kumaliza tatizo la sim yangu ni kwamba inaonyesha headphones zipo connected kwenye simu wakati sijaziconnect hivyo siwezi kupiga simu wala kupokea mpk niweke headphone hata loudspeaker haikubali
msaada pliz ndugu zangu.
 
Jaribu kuiflash labda. Tumia codes hizi *#7370#, *#7780#. Tahadhari: ni muhimu kuhamisha vitu vyako muhimu zikiwemo contacts kwa sababu ukiflash inafuta kila kitu ng unaanzg upya kama vile simu ni mpya!
 
Naomba steps za kuiflash mkuu km ni baada yakubofya hizo no niipe dial au?
ukiandika hizo code then unadial ok.lakini tatizo lako inaweza kuwa ni jack pin ya headphone imejam labda uliingiza hedifoni kubwa.chunguza hilo tundu
 
Hujasema kama umejaribu kuselect microphone kwenye settings options ikashindikana.
 
Jaribu kuiflash labda. Tumia codes hizi *#7370#, *#7780#. Tahadhari: ni muhimu kuhamisha vitu vyako muhimu zikiwemo contacts kwa sababu ukiflash inafuta kila kitu ng unaanzg upya kama vile simu ni mpya!

Bwana kaka nashukuru kwa msaada lkn nikiingiza code inasema requet not cmplited nimejaribu kuziingiza kweye ORIGINAL PHONE SETTING napo inaniambia END ACTIVE CALL AND CONNECTION FIRST nadhani hii ni kwa sababu headphone inaonekana imeungwa ,msaada zaidi plz
 
Zima simu yako kisha bonyeza nyota na number 3 na switch on. Kwa wakati moja. Mpka simu iwake.
 
toa memory card zima simu then toa betry, rudisha betry washa simu vile ikiwaka tu bonyeza y(3), u(*) na kidude cha kupigia simu kwa mpigo utaona screen inakua white then ur done usisahau only button tatu cha kupigia simu y na u
 
pia sometime uchafu kwenye sehemu ya kuwekea headset unaweza kuchangia hiyo kitu kama unahutaalamu kwenye ufundi nenda kwa fundi simu akusafishie kwa dawa maalumu kusudi kuondoa kutu zinazofanya simu ionekane ionyeshe connected
****pia spirit inasaidia ni hayo tuuuuu**
 
Back
Top Bottom