Msaada kwenye modem

Shauri

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
804
453
habari zenu wana jf,
naomba yeyote mwenye ujuzi hapa tafadhali.nina modem ya sasatel,ila nashindwa kuiunganisha kwenye mtandao,nimefanya procedure zote lakini nikiconect inaleta meseji kwamba ,
username and / password was invalid on the domain.
Pls mwenye utaalam hapa anijuze pls
asante
 
nenda kwenye tools then network settings hakikisha phone number, username, na password field zipo na valid data, pili zingatia kifurushi ulichojiunga inawezekana mda wake umeisha
 
nenda kwenye tools then network settings hakikisha phone number, username, na password field zipo na valid data, pili zingatia kifurushi ulichojiunga inawezekana mda wake umeisha
asante kwa ushauri
 
Nilikuwa nayo mwaka juzi na baada ya kufanya kila kitu na kinigomea nikarudi Sasatel wakatatua sasa nipo Airtel.
 
habari zenu wana jf,
naomba yeyote mwenye ujuzi hapa tafadhali.nina modem ya sasatel,ila nashindwa kuiunganisha kwenye mtandao,nimefanya procedure zote lakini nikiconect inaleta meseji kwamba ,
username and / password was invalid on the domain.
Pls mwenye utaalam hapa anijuze pls
asante

unistall kisha install upya
 
Hamia kwenye marcopolo baba nafasi tereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
 
sasa modem ya sasatel kwa kutumia airtel? umeona wapi weye hiyo kufungua mlango kwa ufunguo si wake?
inabidi kwanza ufanye njia mpaka ui unlock kama utaweza
 
Back
Top Bottom