msaada kwenye hii harddisc yangu waungwana....

ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,403
141
juzi kat external HDD yangu imepata matizizo flani..kila nikifungua inaniandikia ERROR PERFOMING INPAGE OPERATION.. hii HDD iko na documents zangu za mwimu sana...kwa mwenye msaada ntashkuru...
 
Inabidi u run scan error scan kwenye hiyo disk, kutegemea na Operating System yako process ni tofauti kidogo, Win7 nenda My Computer Right Click hiyo HD kicha chagua Properties, nenda Tools kisha fanya Error check, weka ticki kwenye Automatic Fix, usiweke ticki nyingine ya Bad sectors hiyo inachuka muda mrefu sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom